Nyuma ya Pazia katika Massage Parlour

Nyuma ya Pazia katika Massage Parlour

shida yote ya nini?huna mke au gf?kama unaye mwambie anunue nazi atengeneze mafuta ya nazi achanganye na hiriki na mchaichai akufanyie massage,anunue na vile foot massage akusugue gaga aweke slow muziki taa za kuvutia au asiwashe kabisa.Baada ya hapo atakushusha kitonga na atakuogesha.Utatoka msafiiiii na mwepesi mwisho unashushia na supu ya samaki.Kisha tunawaacha mrareeeeeeeeee

Ma gelofrend na ma wife si wanajifanya wako bize na whatsap na fb!!acha tukajipatie raha huko sie!
 
Mambo ya Dar slam hayo huduma sh ngapi kiongozi nataka nije huko?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
shida yote ya nini?huna mke au gf?kama unaye mwambie anunue nazi atengeneze mafuta ya nazi achanganye na hiriki na mchaichai akufanyie massage,anunue na vile foot massage akusugue gaga aweke slow muziki taa za kuvutia au asiwashe kabisa.Baada ya hapo atakushusha kitonga na atakuogesha.Utatoka msafiiiii na mwepesi mwisho unashushia na supu ya samaki.Kisha tunawaacha mrareeeeeeeeee

Umeolewa! Samahani lakini!!!![emoji7]
 
Hizo Happy Ending zinapatikana Massage za maeneo gani izo wakubwa.
 
Hata mm mkuu nipo hapa A-Town nahitaji hii huduma; ukijibiwa nitaarifu ...
nasikia maeneo ya sakina ndo zipo ila nataka waliofika huko watupe xperience kidogo wp huduma ni rafiki kwa mteja
 
Back
Top Bottom