Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,183
hhahaaahaa mtajipatia maradhi kibao, mabacteria, mafungus na hyo mitaulo. khaa kchefuchefu, raha ya massage ufanye/ufanyiwe na mwenzi wako tena mkiwa mko sehemu yenu na vifaa vyenu wenyewe.
sasa hawa sisi ndo wenzi wetu...na tunawapenda mwanzo kati mwisho...utuache miaka 800 tulaleeee