Nyuma ya Pazia katika Massage Parlour

Nyuma ya Pazia katika Massage Parlour

Acha tujenge viwanda kwanza, na sasa tupo busy na issue ya Bukoba then ndio tunaweza kutembelea pale hot pink Sinza
 
Hivi zote ziko hivyo au ni baadhi??
 
Madam Kasie pitia na huku uone majanga ya sie
Inabidi sasa mimi na wewe tukutane ili tufanyiane massage kupeana mauzoefu,tuone nani atazidiwa!!Maana nshakuwa mtaalamu
 
naenda leo..mana nimesoma tu nikajihis kama ndo nishaingia kweny huduma
 
Kama ni ijumaa kuu basi kituo nichatisa "mkristo kuwa makini shetanii.....!!!!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yekeleuwiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom