donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
hahaha, kaka upo lakini?mijanmamke y sasa hivi hayawezi mavivuuuu kazi kuangalia tamthilia tu.na kushinda instagram
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha, kaka upo lakini?mijanmamke y sasa hivi hayawezi mavivuuuu kazi kuangalia tamthilia tu.na kushinda instagram
yaani hapo manaume ukifanikiwa kutoka bila ya kupunguza mzigo kesho yake asubuhi nenda hospitali ukamuone dokta kha!!!
shwari kamanda wangu!
Karibu kinondoni aisee!
Si unayaona mambo ya huku kwetu?
hehehe, kwenye red umenichekesha kaka!
barafu nimependa the way ulivyo tiririka na mada yako.wallah nimejikuta nacheka.jf raha sana.
tangazo limedhaminiwa na nani....!?
why can't you investigate on your own?
Umenena mkuu,ila siwezi kwenda KUSINGWA kwenye hayo majengo
Afu wewe nakufananisha na General Aladdin wa the dictator
hahaha, kaka upo lakini?
tangazo limedhaminiwa na nani....!?
hahah, kweli ametumia ufundi stadi kufikisha ujumbe kwa hadhirabinafsi wakat nausoma huu uzi nilikua kwenye daladala,,,nimeshindwa kujizuia kucheka,,,jamaa ameelezea(hadithia)kiustadi kweli,,,,