Nyuma ya pazia kufungwa kwa wasafi festival;udini ulitawala onyesho

Kuwaza udini ni ujinga zaidi ya kunywa gongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana huo ubani ulikuwa kama camouflage ya aina fulani kukata harufu ya kitu fulani hivi-Bangili
 
Ni kwel wakristo walikatazwa kusoma sala zao Au palikuwepo hakuna wa kufanya maombi kwenye huo upumbavu,ni Mchungaji au padri gan aitwe na wasafi akasome Dua kabla ya kuanza tamasha la kumtukuza na kumwinua shetan?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha hivi watanzania tunanini jamani??
 
Una habari kwamba adhana ni muziki?..
Qaswida je?..unajua maana yake!!
Ndugu usijaribu kuonyesha ujinga wako ...au unaona ufakhari kujulikana nawe umechangia humu maana ushavaa jezi kwa ajili ya mechi
 
Kwani nchi ina dini ngapi. Kuna wakristo 65% na waislam 35%. Waisilam huwa wanamwambia diamond atubu amrudie Mungu sasa inakuwaje shehe kubaliki tamasha. Mzee Yusuph aliamua kuachana na miziki ya dunia ili amfuate Mungu sasa ni shehe gani anaenda kuombea miziki ya kind dunia. Mchungajihebu makubwa nchini asingeweza kwenda kubaliki kabla show haijaanza. Dini zingewekwa pembeni. Yeye apige kazi.akiendelea kufungiwa lazima atapotea kwenye Ramani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua maana ya qaswida?
Ndo maana nikasema mziki na Uislamu wapi na wapi ...hizo kaswida za Aina gani ...Kama kasida Zina vinanda na ngoma hata ziwe zinaimbwa ndani ya msikiti hazihalalishi Kama ndo ziwe zinafaa
 
Ndo maana nikasema mziki na Uislamu wapi na wapi ...hizo kaswida za Aina gani ...Kama kasida Zina vinanda na ngoma hata ziwe zinaimbwa ndani ya msikiti hazihalalishi Kama ndo ziwe zinafaa
Sawa,allahu akbar..
 
Umbea tu hakuna ukweli wowote hapo huu ni uongo kama ulivyo uongo mwingine
 
acha unanaa...mkuu, usiwe na kiherehere cha mwangimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…