Nyuma ya Pazia Kwenye Operesheni 255 Huko Kigoma

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Wazee kwa vijana wamekubaliana kwa pamoja kuhusu Umuhimu na ulazima wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi.

Ushahidi wa Jambo hili ulitbibishwa Jana Jioni huko Kibondo.

FB_IMG_1684577783601.jpg
FB_IMG_1684577822898.jpg
FB_IMG_1684577816608.jpg

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Bila KATIBA mpya,

Bila TUME HURU ya UCHAGUZI,

Uchaguzi wa 2024 na 2025 UTAYEYUKA!!!!!
 
Kwasasa CHADEMA ni kama inafanya siasa kutimiza majukumu yake tu.

Yaani picha za jana zinatumwa leo, jana ufunguzi hakuna mada zozote zenye uzito zilizoteka jf kama ilivyokuwa zamani.

Kuna haja ya kufanya restructuring na upya ya kitengo cha habari cha CHADEMA.
 
Kugaragazwa Kiko palepaleeee. Kigoma imefunguliwa Kwa barabara za rami tangu uhuru Leo ndo zimeingia, halafu unatuletea mapicha na manenoo manenoo. Kigoma wanafuraha saaana na SAMIA Alie waondolea tope na vumbiiii. Na Kwa FURAHA waliyonayo wanakigoma, hata mfanyeje hampati ata mjumbe wa mtaa. SAMIA kaiinua kigoma Kwa Kila kituuu.
 
Huo ni wajibu wa serikali na tunaipinga ccm kwa kushindwa kuyafanya hayo kwa miaka zaidi ya 60.
 
Ndio Sasa kipenzi Cha wanakigoma SAMIA ametimiza ndoto zao, wanakigoma wamemsubiria Kwa hamu saaana wambebe mgongoni Kwa kuwatoa kwenye vumbi na tope, halafu hawa uchwara nao mnapeleka manenomaneno huku watu wanataka matendo. SAMIA ndio mkombozi wa wanakigoma na kufuatia Hilo, wanakigoma watahakikisha hawataweka uchafu mahalapopote kwenye uchaguzi mkuuuu.
 
Umesahau namba yako ya simu.
 
Back
Top Bottom