Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wassira huyuhuyu !Wassira: Bila serikali mbili hakuna Katiba mpya
Huyu Huyu anayeongoza Vikao Vya Maridhiano!
Hapo pagumu saanaWassira: Bila serikali mbili hakuna Katiba mpya
KimaWassira: Bila serikali mbili hakuna Katiba mpya
Huo ni wajibu wa serikali na tunaipinga ccm kwa kushindwa kuyafanya hayo kwa miaka zaidi ya 60.Kugaragazwa Kiko palepaleeee. Kigoma imefunguliwa Kwa barabara za rami tangu uhuru Leo ndo zimeingia, halafu unatuletea mapicha na manenoo manenoo. Kigoma wanafuraha saaana na SAMIA Alie waondolea tope na vumbiiii. Na Kwa FURAHA waliyonayo wanakigoma, hata mfanyeje hampati ata mjumbe wa mtaa. SAMIA kaiinua kigoma Kwa Kila kituuu.
AmenHuo ni wajibu wa serikali na tunaipinga ccm kwa kushindwa kuyafanya hayo kwa miaka zaidi ya 60.
Mnafukuza mwizi au mnafukuzia vishundu.Wakati wengine wakiendelea kuparuana kwa dhambi ya Kuligawa Taifa
Sisi tunafukuza mwizi kimyakimya.
[emoji38][emoji38][emoji38]Mnafukuza mwizi au mnafukuzia vishundu.
Chadema kwa mikwara gigy money akasome
Ndio Sasa kipenzi Cha wanakigoma SAMIA ametimiza ndoto zao, wanakigoma wamemsubiria Kwa hamu saaana wambebe mgongoni Kwa kuwatoa kwenye vumbi na tope, halafu hawa uchwara nao mnapeleka manenomaneno huku watu wanataka matendo. SAMIA ndio mkombozi wa wanakigoma na kufuatia Hilo, wanakigoma watahakikisha hawataweka uchafu mahalapopote kwenye uchaguzi mkuuuu.Huo ni wajibu wa serikali na tunaipinga ccm kwa kushindwa kuyafanya hayo kwa miaka zaidi ya 60.
Umesahau namba yako ya simu.Ndio Sasa kipenzi Cha wanakigoma SAMIA ametimiza ndoto zao, wanakigoma wamemsubiria Kwa hamu saaana wambebe mgongoni Kwa kuwatoa kwenye vumbi na tope, halafu hawa uchwara nao mnapeleka manenomaneno huku watu wanataka matendo. SAMIA ndio mkombozi wa wanakigoma na kufuatia Hilo, wanakigoma watahakikisha hawataweka uchafu mahalapopote kwenye uchaguzi mkuuuu.
Namba yangu ya simu ya NiniUmesahau namba yako ya simu.