ze future
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 204
- 299
Habari yako, nakumbuka mwaka jana mwezi May nilipata bahati ya kutembelea jiji la London nilienda kwa shughuri zangu binafsi lakini nilipata nafasi ya kutembelea mgahawa mmoja kwaajili ya kupata chochote kitu.
Nikiwa naendelea kupata vyangu nyuma ya meza niliyokaa kulikua na watu kama watatu hivi ambao muda mwingi walikuwa wapo kwenye mazungumzo ambayo kwambali na hii ngeli yangu ya genge niliweza kuwaelewa, watu wale walikuwa wanamuongelea Lionel Messi kuwa huenda atakuja kukipiga kwenye ligi ya EPL kabla ajaamua kustaafu.
Baada ya kuskia hayo mazungumzo niliona hizi ni porojo tu na hawa majamaa watakuwa hawajashiba ndomana wanaongea vitu hivyo. Nikajimalizia kula msosi pale nikalipa hela afu nikajiondokea zangu.
Ilipita kama mwezi hivi bila ya kukanyaga ule mgahawa, nakumbuka jioni moja hivi nikaamua kwenda tena pale lakini safari hii kidogo nilikuwa nimezoea jiji kufika mule ndani nikaamua sitokaa peke yangu acha na mimi nutafute meza ya kujichanganya na watu.
Nikaona meza moja hivi ambayo wamekaa watu wawili hivi nikaomba kujiunga nao pale basi wakakubari, nikiwa na endelea kupata msosi pale tulianza kuongea mambo mbalimbali mpaka tukafika kwenye soka hapo ndo mmoja kati ya wale wawili niliowakuta akagusia kuwa Man utd wanampango wa kumsajili Messi.
Hizi habari zilinishtua sana nikaamua kuuliza zina ukweli wowote, jamaa akiwa anajiamini sana alifunguka mengi sana kuwa huo mpango ulikuwa unasukwa tokea miaka miwili nyuma na sasa upo kwenye hatua za mwisho kukamilika jamaa alinieleza mengi sana kutokana na muda kupita nikaamua kuondoka zangu lakini tulibadilishana email pale.
Nikafanikiwa kurudi nyumbani TZ baada ya kukamilisha shughuri iliyonipeleka kule.
Kilipita kipindi kidogo siku moja nachezea simu yangu nikaona email imeingia kufungua nakuta imetoka kwa yule jamaa niliyekutana nae London, tulisalimiana pale nakuulizana mengi tu kwakuwa ni marafiki ambao tulijuana kwasababu ya soka tukaanza kuleteana hizo habari mara hii nilidokeza kuwa huenda Sancho atatua OT mwisho wa msimu, yule jamaa akanikatisha kidogo na kuniambia kuwa Man utd mpango wao ni kumsajili Messi na sio Sancho ilinibidi nimshangae sana yule jamaa nakumwambia mbona huo mpango hautawezekana.
Jamaa akaniambia kwamba Adidas waliamua kumpiku Nike kwenye udhamini wa jezi za Man utd lengo lao kubwa ni kutengeneza mazingira ya kumleta Messi katika kablu hiyo kubwa ndomana ikawalazimu Adidas kuweka dau kubwa ili ipate udhamini huo.
Jamaa akaniuliza kwanini CR7 alienda kucheza Juventus na sio kurudi OT, sababu ni moja tu mabosi wa Man utd na wale wa Adidas waliwekeana makubariano ya kumleta Messi.
Tuliachana baada ya mazungumzo hayo mpaka wiki hii ndo nimeamua kumtafuta tena nimemwambia kuwa alikuwa sahihi kabisa tokea mwanzo na sasa ni suala la muda tu kabla ya Messi ajasaini Man utd.
Wasalaam.