Nyuma ya pazia: Man United na mpango wa kumsajili Messi

Nyuma ya pazia: Man United na mpango wa kumsajili Messi

Anaenda mancity kwenye angalau harufu ya barca
Unayakumbuka ya Alexis Sanchez na stori za kutua Man city ya Guardiola?
Man utd wapo vizuri sana kuliko unavyofikiri wanao uwezo wakumleta mchezaji yeyote na kumlipa pesa yeyote ile.
 
Messi ana mkataba wa miaka 2 na yanga😎
Na kibali kipo anatua septemba🔜⚽
 
Back
Top Bottom