Kulupura
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,053
- 1,189
Bila shaka nguvu ya bikoLipumba Bado Ana Nguvu Bara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka nguvu ya bikoLipumba Bado Ana Nguvu Bara
Hapana,nadhani nguvu za kiumeBila shaka nguvu ya biko
Kuna hawa ndugu zetu ambao bado wanamuota JK kama rais bora. Nimewagundua kwa makundi yafuatayo 1. wale wenye malori ambao hawataki kuona reli ya TRC na SGR iwepo 2. wale wenye ndege zao charter planes hawaitaki ATCL iruke 3. wale wenye maduka na biashara kubwa kubwa ambao hawataki mpango wa kuhamia Dodoma 4. wapiga dili za mikutano pale wizara ya nje. Poleni sana ndugu zangu tunataka SGR zingine mbili moja iunganishe Mbababay kupitia lindi, mtwara na kilwa hadi Dar pili itoke Ruvu hadi Tanga , Moshi, Arusha hadi Musoma.jiwe anashughuli.
kikwete kaenda kumliwaza.