Nyuma ya Pazia Seif kujiunga na ACT (Kuna kitu kinatafutwa) CCM Ikae Tayari

jiwe anashughuli.

kikwete kaenda kumliwaza.
Kuna hawa ndugu zetu ambao bado wanamuota JK kama rais bora. Nimewagundua kwa makundi yafuatayo 1. wale wenye malori ambao hawataki kuona reli ya TRC na SGR iwepo 2. wale wenye ndege zao charter planes hawaitaki ATCL iruke 3. wale wenye maduka na biashara kubwa kubwa ambao hawataki mpango wa kuhamia Dodoma 4. wapiga dili za mikutano pale wizara ya nje. Poleni sana ndugu zangu tunataka SGR zingine mbili moja iunganishe Mbababay kupitia lindi, mtwara na kilwa hadi Dar pili itoke Ruvu hadi Tanga , Moshi, Arusha hadi Musoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…