Nyuma ya Pazia; TFF -AZAM TV Haki ya Matangazo

Kwamba hutaki Azam wapige pesa? Hizi akili za kimasikini baadhi yenu zipo damuni kabisa

Kuhoji sio AKILI za KIMASKINI. Bali kushindwa KUHOJI , literally means hujui chochote kitu, wewe ni bora kumepambazuka.

Tunashauri sana mufundishwe to question everything, it is a sign of INTELLIGENCE
 
Tafuta pesa uzitumie si bora Azam je Vodacom analipa Sh Ngapi?
 

Jadili kimapana, usiwe na PUPA.

1. Vifurushi kupanda bei
2 . Wateja kuongezeka kila mwaka

3. Hata kama Demand itaongezeka vipi and of course ITAONGEZEKA, contract value ni ile ile Bil 225 for 10 Years , huku uwezekano wa Price Fluctuation ( kupandisha gharama za service yake ) ukiongezeka ni mkubwa

TAFAKARI na UPUNGUZE HISIA.
 
We kichwa maji usiye jua hata Kama tenda ilitangazwa ni kupoteza Muda kukuelewesha.

Maana hujui tenda ilitangazwa lini halafu unabisha haijatangazwa ndiyo maana nimekuambia nenda kwenye page za Hamisa na juma lokole hao ndiyo wenzako.

Neno kichwa maji halina uhusiano na mjadala wetu.

Kutokujua tena ilitangazwa lini sio hoja ya MSINGI. Hoja ya msingi sio kutangazwa, kwa uelewa wako finyu wa manunuzi ya Umma, nashauri uendelee kusoma COMMENT huenda ukajifunza kitu.

Mimi na wewe tunajenga nyumba moja
 
Wewe una post pumba zako hapa kwa manufaa ya nani?? Ficha ujinga wako mkuu!!
Ni aibu kubwa kutokujua mchango wa Azam TV kwenye kukuza soka letu!
Unakichwa kigumu sana ww kuelewa kwanza lazima utambue kua hiyo ni biashara sio msaada tff Kama wao kwanza walitangaza tenda au hawakutangaza na lazima uelewe miaka kumi sio mchezo kwa nn wasiweke mika miwili
 
thanks for recognition mkuu...@Josh J
 
Eti jinsi azam atakavyopiga hela, huyo jamaa alisema azama ana wateja 1000000 lakini ukweli upo tcra walisema nchi nzima madish hai ni laki 4 tu sasa hayo laki 4 gawanya kwa star times, azam dstv ting nk
Mbona mnachanganya mkuu...mara unasema laki 4..mara kuna mwingine anasema 1.1m....mara wengine wanasema 2m....zipi ni data sahihi....yote kwa yote..tumepigwa
 
Yan haikua open tendering mkuu mbona watu walishaleta mpk dangazo umu
 
Mbona mnachanganya mkuu...mara unasema laki 4..mara kuna mwingine anasema 1.1m....mara wengine wanasema 2m....zipi ni data sahihi....yote kwa yote..tumepigwa
Umepigwa wewe na nani? Hivi unadhani tungeingia mkataba na nani ndio msingepigwa? Kwanini unafikiri biders wengine hawalalamiki ila huku mitandaoni nyie mnalalamika kupigwa?
 
Weka Uthibitisho hapa hapa. Sote tunajua process za Tendering na Procurement method kwa mujibu wa Procurement Act 2011, Regulation 2013 na Maboresho 2016
kwanzA zingatia, ukiacha sheria na taratibu, BADO hiyo hiyo sheria na taratibu inaweka wazi utaratibu kwa NG'Os ambazo si zakiserikali ambazo Serikali sio mshirika wake Moja kwa Moja..hizi taaisisi hazibanwi kwenye huo utaratibu na sheria ya 2011 pamoja na maborehso yake yote..hii ndio kusema kwamba taasisi binafsi ambazo hazina maslahi na Serikali zinahaki ya kuopt katika hilo, TFf na Serikali ni wabia wa kimaendeleo..katika michezo , lakini TFF inarelay zaidi kwenye sheria na taratibu za fifa (ndio kusema kwamba TFf ni mtoto wa damu kabisa wa FIFA ambaye anaangaliwa na mzazi wa kambo Serikali za nchi .) Kuthibitisha hilo..Fifa wanatoaga pesa za maendeleo kwa kila shirikisho la soka duniani , ikiwemo TFf wakat Serikali iliyotunga hizo sheria haitoi hata thumni ..


Hoja ya pili hapa ni huo mkataba wa miaka 10 kwa bili 225 bila ya kujali other factors na value for money.
Mkataba ule Kama mikataba mingine..ya muda mrefu na mfupi umezingatia value of money ...umebainisha wazi kuwa thaman ya mkataba itakuwa ikiongezeka kadri muda wa mkataba Ulivyo..ndio kusema kwamba na tutarajie ilo, mpaka kufika mwaka wa mwisho wa mkataba , klabu Bingwa mathalani atapata karibu milioni 750
 

Kwani na wao hawatoi nyingi?
 
Hoja kama hizi mleta thiredi hajibu wapo wengi tu huko juu wamemwambia alete hivyo vifungu vya sheria hataki kabisaa kujibu.
 
Usiwe kigeugeu katika matamshi yako, ulisema unataka kuona tangazo, limewekwa, saizi umebadili kauli. Fanya tafiti yako ya kutosha kabla ya kuandika hapa
 
Bado niko hapa nasubiri mleta mada alete majina ya wale bidders waliokuwa tayari kutoa 800bln mpaka 1 trillion.
 
Bado niko hapa nasubiri mleta mada alete majina ya wale bidders waliokuwa tayari kutoa 800bln mpaka 1 trillion.
Akileta hayo majina Naomba unitag mkuu namie nijionee, mtu anaandika tu hapa kama kakatika kichwa, akijifanya kuiona bil 222 ni hela ndogo Sana Ila unakuta hela zote za ukoo wao hawajawahi kuwa ata na bil 1 ila kwakuwa katoa mwenzao wanaona kama rahisi Tu
 
Nimeamini kuwa kuna baadhi ya Binadamu hawatosheki wao muda wote ni kujifanya wajuaji na ni mabingwa wa kupingapinga hivi mleta mada hafahamu zipo timu zikicheza mechi zake zote hazipati mapato ya hata milioni200?
Leo Azam anatoa karibu milioni500 bado tunajifanya wajuaji? Maana wengi wanaona muda mrefu mwanzoni alisaini miaka5 kwa bilioni23 kwa hiyo sasa mlitaka asaini miaka5 tena kwa bilioni35 ndio mngeona mkataba mzuri na wenye tija?

Maana mmekuwa hamueleweki mnalalamikia muda tu ingekuwa vizuri mngesema mkataba mzuri ungekuwa wa miaka? Wenye thamani ya bilioni? Na wadhamini fulani,fulani walijitokeza lakini walikataliwa kinyume na hapo ni ile ile hadithi ya akili nyingi huondoa maarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…