Nyumba 17 zakarabatiwa kwa gharama zinazotosha kujenga 20 zenye hadhi sawa !!

Nyumba 17 zakarabatiwa kwa gharama zinazotosha kujenga 20 zenye hadhi sawa !!

tatizo hapa is the top man, kikwete....~! i cant see all these happening under the true tanzanian Julius kambarage nyerere..! under this great leader, i can see rostam,karamagi,manji,lowasa ....behind bars! and all goverment houses under his watchfull eye..! WE WILL SURELY MISS U JK NYERERE!!
 
Its all very good kwa wabunge, wananchi, magazeti kufichua ufisadi na mafisadi na wahujumu, wezi etc. Magnitude ya incidents ndio zinapishana. Mwishowe wa-TZ tutazoea na tutakua desensitised kiasi ambacho hata wakafichua nini hatuta raise eyebrows.
I'd rather these wafichuaji - provide us actions. That mafisadi wapo, that TZ is being milked dry is no newz, what we need is to continue to find ways to protest and show our frustration and disgust. Sijawahi kuona hata documentary, special issue inayo onyesha athari za ufisadi na ubadhirifu etc kwa jamii na nchi yetu!!
 
Kama kweli ni hivyo vimetendeka, ni aibu kubwa sana kwa ndugu yetu, jamaa yetu na mpendwa wetu Dr. Idris Rashidi... Naamini mheshimiwa Rais amemwamini sana Dr... ila hii sasa ni doa kubwa.... SIJUI

Lakini ndo TAnzania yetu hii kaka.. Kulindani ni kwingi sana kuliko kuwajibishana. HIVI KWELI TUTAFIKA???
 
Mbona hawa watanzania wanaopewa dhamana wana roho mbaya namna hiyo Dr.Idrisa juzijuzi alikuwa amechacha akaonekana mzee sasa hivi amenawili ana rangi ya chocolate vipi hawa wanamtandao wa Jakaya vipi sasa si alisema he might wear the smile but,,,,,,,,, iko wapi sasa kila siku walaji tu wanajitokeza tena bila hata aibu kabisa wengine wanasafishwa ili mwakani wagombee ubunge au vyovyote hii nchi na utawala sasa ni ovyo ovyo kabisa
 
Back
Top Bottom