Mbona hawa watanzania wanaopewa dhamana wana roho mbaya namna hiyo Dr.Idrisa juzijuzi alikuwa amechacha akaonekana mzee sasa hivi amenawili ana rangi ya chocolate vipi hawa wanamtandao wa Jakaya vipi sasa si alisema he might wear the smile but,,,,,,,,, iko wapi sasa kila siku walaji tu wanajitokeza tena bila hata aibu kabisa wengine wanasafishwa ili mwakani wagombee ubunge au vyovyote hii nchi na utawala sasa ni ovyo ovyo kabisa