Tajiri Luca aje kuzinunuaPicha picha
Na ina uwanja mkubwa, unaweza hata wauzia utopolo wajenge uwanja wa mazoeziKweli nyumba ni nzuri sana angalia hata paa lake.
Weka kaapiichaaNa ina uwanja mkubwa, unaweza hata wauzia utopolo wajenge uwanja wa mazoezi
Mkuu mbona sote tunaiona picha hapo, wewe unatumia simu gani??Weka kaapiichaa
Picha upon visiting, be notifiedEneo lenye Nyumba 3 linauzwa.
Mahali: Tegeta Namanga, Mtaa wa Kibera.
Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Old Bagamoyo.
Ukubwa wa Eneo: SQM 1204.
Bei: Tzs Milioni 300. Mazungumzo yanaruhusiwa.
Nyaraka: Hatimiliki.
Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.
Mawasiliano: 0784 829565 au 0767 833345
@prathlimited
SIja bahatika kwenda Veta nafanyanye zaidi ya kukomaa na kiswaswadu?Madhara ya kutumia viswaswadu mkuu