NYUMBA AMBAYO BADO HAIJAISHA INAUZWA

Hivyo vyumba haviwezi kuwa vikubwa kama unavyosena kwenye kiwanja Cha 13 kwa 20. Sema vya kawaida sana. Ila mil 20 ni kamzozo kwa hapo
 
Samahani wateja wetu.Muwe na subira.Tumeishtukiza sana nyumba hii kwa kuja na wageni.Nyumba bado ipo ndani inavaa nguo.Itakapokuwa tayari itaonekana.
 
Kama huna simu Og huwezi kuiona hii nyumba na eneo lake. Ngoja nii convert kuwa sauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…