Nyumba ambayo bado haijaisha inauzwa

Princep

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2016
Posts
584
Reaction score
839
NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM YENYE CHUMBA CHA MAKABATI YA KUHIFADHIA NGUO.

SEBULE, DINING, JIKO, STOO NA PUBLIC TOILET.
INA KORIDO PANA KUELEKEA VYUMBANI.

RAMANI YAKE NI NZURI NA YA KISASA.
ENEO LINA UKUBWA WA 20 UPANDE WA KULIA, KUSHOTO 20, NYUMA 20 NA KWA MBELE NI 13.

NYUMBA IPO KWA ISSA FOREST (Njia ya Makabe kuelekea Msumi) MBEZI.
Kutoka Stand ya Daladala mbezi mpaka kwa Issa kituoni Nauli ni 700.


HUDUMA YA MAJI NA UMEME VIMEFIKA.

ENEO NI ZURI SANA.

BEI MILLION 25

GARI INAFIKA HADI KWENYE NYUMBA.

Kama unahitaji Karibu PM
 
Tangazo lako ni kwa,watu maarfu tu wa eneo husika,haujaemsema nyumba ipo mkoa gani wilaya gani ,

Hii mtu wa moro au mkoa mwingine hawezi jua eneo
 
Kwa tathimini Hilo pagala ni milioni mbili na nusu na kiwanja Kwa bei ya juu ni milioni kumi na tano jumla inakuwa milioni kumi na saba na nusu.
 
hapo gharama zote hazizidi 18M
Kama za kujenga akiweka hapo 7mill kama faida kuna ubaya?

Maana kwa sababu anauza basi auze tu hata kwa hasara atakuwa kichaa kumbuka hapo kuna gharama aliingia wakati ananunua kulipa walinzi wakati wa ujenzi etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…