House4Sale Nyumba (bado haijaisha) inauzwa Morogoro

Si Bora ukae kimya tu mzee, mtu kasema anauza nyumba na hauwezi kununua muache aendelee na biashara tena unauliza nyumba au pagale wakati picha zinaonekana si unaharibu biashara ya watu

Kaa kimya kama upande sio wako

Akili za kimasikin tu
Kweli kabisa mkuu
 
Huo ni uchawi wa wazi wazi wewe unalo hilo pagale acha kauli chafu
Sasa hiyo ni nyumba au gofu/pagale? Acheni utipii. Ndiyo ninyi madalali mnaopiga picha za vitu kisaniisanii ili kuhadaa wateja. Kwa nini asingeandika 1-jengo ambalo halijakamilika? 2-jengo linalohitaji umaliziaji? au 3-simply pagale?

Kwani mteja atanunulia nyumba hapa JF? Si atakwenda site na kulikuta hilo pagale? Acha kutetea u-hovyohovyo. Dalali awe mkweli!
 
Pagale ni Kama ingekua haijapigwa bati, Sasa nyumba ina Hadi madirisha na Kuna mtu anaishi unaita pagale
 
Pagale ni Kama ingekua haijapigwa bati,Sasa nyumba ina Hadi madirisha na Kuna mtu anaishi unaita pagale

Hao wambea wana conect na moder wanataka mitusi wawafate dm wawaambie wakupige bani, achana nao fanya biashara yako mkuu

Hao pengine wanaishi kwa wazee wao wamemaliza Chuo wanadoea ugali Kwa kuwadhulumu wadogo zao

Fanya biashara ndugu yangu na acha kujibu ujinga wao hakikisha mtu yupo seriously ndio umjibu, mijibwa hiyo itakupotezea malengo
 
Nimeacha kabisa kumjibu mkuu,ni kweli kabisa
 
Si Bora ukae kimya tu mzee, mtu kasema anauza nyumba na hauwezi kununua muache aendelee na biashara tena unauliza nyumba au pagale wakati picha zinaonekana si unaharibu biashara ya watu

Kaa kimya kama upande sio wako

Akili za kimasikin tu
Acha ambiwe ukweli..jengo kama halijaisha ni Pagale tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…