Sasa hiyo ni nyumba au gofu/pagale? Acheni utipii. Ndiyo ninyi madalali mnaopiga picha za vitu kisaniisanii ili kuhadaa wateja. Kwa nini asingeandika 1-jengo ambalo halijakamilika? 2-jengo linalohitaji umaliziaji? au 3-simply pagale?
Kwani mteja atanunulia nyumba hapa JF? Si atakwenda site na kulikuta hilo pagale? Acha kutetea u-hovyohovyo. Dalali awe mkweli!