Cornellius
Member
- Nov 20, 2018
- 9
- 10
Kama kichwa kinavyojieleza ndugu wana JF, kwa mwenye taarifa zozote, mmiliki au dalali wa nyumba maeneo ya upanga hapa dar es salaam natafuta nyumba ya kupanga maeneo tajwa. Naomba anicheki PM ili tuwasiliane zaidi. Asanteni
N.B nyumba ya kawaida tu sio zile za kitalii (Dollars)! 😀;
N.B nyumba ya kawaida tu sio zile za kitalii (Dollars)! 😀;