Nyumba / chumba / vyumba vya kupanga au mtu wa kushare nae nyumba

Nyumba / chumba / vyumba vya kupanga au mtu wa kushare nae nyumba

taurus5270

Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
79
Reaction score
13
Hello nimejaribu kutafuta nyumba maeneo ya mjini kama sinza, kijitonyama, makumbusho mikocheni nk. inakuwa ngum, wenye nyumba weng wanataka kod ya mwaka, bajet yangu ni lak 2 au 1.5 kwa miez 6. So kama kuna mwenye interest tunaweza tukashare tukakod nyumba ya lak 4 au 3 kwa mwez then tunagawana rooms! Mabachela kama mm wenye mishemishe town
 
Back
Top Bottom