Nyumba dogos!....:are they necessary evils?

Nyumba dogos!....:are they necessary evils?

Ni wewe tu utakavyoamua kuyafanya maisha yako yawe. Nyumba ndogoz are not there to stay, but we make them stay. Mimi sijawahi kuwa nayo, na sioni umhimu wake.
 
Ni wewe tu utakavyoamua kuyafanya maisha yako yawe. Nyumba ndogoz are not there to stay, but we make them stay. Mimi sijawahi kuwa nayo, na sioni umhimu wake.


....shukuru Mungu hayajakukuta ndugu.
 
i hate and hate dearly nyumba ndogo, ziliharibu ramani nzima ya elimu yangu, family yetu, nimeshuhudia live kwa macho yangu jahazi likienda mrama mpaka likizama, yaani nikiona mwanaume ana small house namsikitikia tu najua in a long run atakuja juta na kusaga meno, na kuharibu future ya watoto. kwa hiyo msije juu mkikuta wake zenu wakiwa na serengeti boys
 
Hivi hii hali itaisha lini lakini?na je vipi wanawake nao wakitafuta waume wa nje ili ngoma iwe droo?
 
Nyumba ndogo kweli ni issue, tatizo ukikutana na mwenzi wako wa zamani ukisema ngoja nikumbushie ndio umekwama, na hii ni kwa wote hata hawa wana Beijing ni hivyo hivyo sema wao ni hodari kukana na ukiwabana sana wanaaza kulia.kwani bahari chumvi ilioma tuliitia sisi, si tuliikuta jamani? itakavyokuwa kila mtu ana pahali anajificha sema spouse wake hatakiwi kujua.
 
Sio kama wanawake wanakubali nyumba ndogo to stay, but they have no choice. Si mfumo dume bwana!!1
 
Back
Top Bottom