i hate and hate dearly nyumba ndogo, ziliharibu ramani nzima ya elimu yangu, family yetu, nimeshuhudia live kwa macho yangu jahazi likienda mrama mpaka likizama, yaani nikiona mwanaume ana small house namsikitikia tu najua in a long run atakuja juta na kusaga meno, na kuharibu future ya watoto. kwa hiyo msije juu mkikuta wake zenu wakiwa na serengeti boys