Nyumba dogos!....:are they necessary evils?

MBA- Married But Available.

Hapa kabla sijakwenda popote naomba niwaswalike swali enzi waungwana mnaosupport nyumba ndogo- Is it sawa pia kwa serengeti boys? If so why kina mama wanaouwa na nyumba ndogo zao mnawalaumu?
 
That is single scenario, ziko nyingine nyingi tu. Kwa mfano kuachika mimi na wife what will happen to my kids? unajua wengi wetu tuna count madhara baada ya kutokea
lakini kama tutafanya kwa siri kama nyamayao na fl1 wanavyosisitiza?!.....
 
MBA- Married But Available.

Hapa kabla sijakwenda popote naomba niwaswalike swali enzi waungwana mnaosupport nyumba ndogo- Is it sawa pia kwa serengeti boys? If so why kina mama wanaouwa na nyumba ndogo zao mnawalaumu?

A Man is for Women. Woman is for a Man! Thats nature!
 
MBA- Married But Available.

Hapa kabla sijakwenda popote naomba niwaswalike swali enzi waungwana mnaosupport nyumba ndogo- Is it sawa pia kwa serengeti boys? If so why kina mama wanaouwa na nyumba ndogo zao mnawalaumu?
serengeti boiz mi naona sawa tu!serengeti boiiz ni picha halisi ya FAILURE OF MWANAUME KUTIMIZA WAJIBU WAKE
 
I agree with you kwamba being a naging wife sucks a lot, na nyumba inakuwa so unwellcoming for both. Lakini pia isiwe sababu ya mtu kukimbilia nyumba ndogo, kwa nini usitumie muda huo kufanya shughuli za maendeleo kama vile kusoma, kuongeza michezo kwenye maisha yako, nk,nk.
 
Hapa kabla sijakwenda popote naomba niwaswalike swali enzi waungwana mnaosupport nyumba ndogo- Is it sawa pia kwa serengeti boys? If so why kina mama wanaouwa na nyumba ndogo zao mnawalaumu?

Wanadai ati hakuna mwanamke awezaye kutumikia mabwana 2 kwa hiyo kwa mwanamke NO kuwa na serengeti boyz.
 
Kapinga, mi naona kama mtu ana kera kupita kiasi bora kuachana nae na ku chukua mwingine kuliko kucheat..sasa kwenye case kama hiyo unakuta mtu ana tafuta nyumba ndogo...Je itampunguzia matatizo au?
 
Nipe sababu za mtu kukimbilia nyumba ndogo........
 
mumeo hana nyumba ndogo?ai miin can you justfy?

Ofcourse hana, that, i can proudly confirm! And am very thankfully for that! Justifying is not necessarry as long as nimejiridhisha na kuuachia moyo wangu uamini nachoamini. In future i cant say but so far he is mine and only mine. However,hata wakiwepo nyumba ndogo in future sitishiki, they are just mistresses who are no threat to me.
 
Vipi uhusiano wako na Mungu unauweka wapi?
mungu wa nini hapa mpwa!?
mungu na nyumba ndogo wapi na wapi?!
jiulize kwanini mungu alitoa nafasi ya watu kuungama/kutubu?
 
Geoff na Fidel aksanteni kwa majibu yenu.

Ni hilo tu nililotaka kujua. Hapa nawezakusema kuwa mnatafuta justification ya matendo haya kama wanaume hakuna lingine. Kwani kama serengeti boys ni alama ya kushindwa kwa mume kwa mkewe je ina maana nyumba ndogo ni alama ya mke kushindwa kumtimizia mumewe so tukubaliane nanyi kuwa wake zenu wameshindwa kuwatimizia mahitaji yenu do maana mnetoka nje?
 
My Holy Virgin Mary, Mother of My Lord Jesus!
 
Tatizo ni nini hasa la kuwa na nyumba ndogo?

1.ni tamaa
2.wake zetu hawaturidhishi
3.tuliyotegemea kwa wake zetu hayapo
4.au staili ya kutafuta kazi au hela
5.
6.
.
.
.
.

5. Tabia ya ubazazi, tena ambayo haina sababu wala dawa...
 
ha ha ha ha ha!i know u r kidding bana!HOW CAN YOU JUSTFY?au umeikata huwa unatembea nayo kwenye kipima joto?😀
 
Nipe sababu za mtu kukimbilia nyumba ndogo........

unaweza kukimbilia nyumba ndogo kwa kuwa mkeo ana mdomo sana, jeuri, anabania sana chakula cha usiku and so many more reasons but again huko unakoenda ndo pamekamilika??? huoni unajiongezea msalaba zaidi? bora utulie na wako ambaye naamini mpka kufikia kuwa wanandoa kuna mengi mliona mnafaana, kisha mapungufu mrekebishane.

we are flesh and blood, we make mistakes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…