macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Hivi benki hawaweki option ya mwenye nyumba kutafuta mteja na akipata auze chini ya usimamizi wa benki? Nchi nyingine ukinunua nyumba kwa mkopo na ukashindwa kumaliza deni katikati, unaruhusiwa kumpa agent atafute mteja wa kununua hiyo nyumba na akipatikana benki inachukuwa inachodai na kama fedha zimebaki zinakuwa za mteja.Bora mtu mwenyewe auze ili kulipa mkopo ila sio kufukuzwa na bank then waiuze ni hatari usijaribu ,900 itapendeza.