KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Naomba kuwajulisha kuwa Nauza nyumba Ipo Kiharaka ukipita daraja la Bunju unapinda kulia ilipo kambi ya jeshi sasa kabla ya kufika Nyumba ipo hapo Serikali za mitaa.
Nyumba ndiyo hiyo katika Picha.
MAZUNGUMZO YAPO
- Ukubwa wa Nyumba ina vyumba 3 kimoja ni Master,
- Seating Room
- Public toilet
- Store
- Nje ina fremu mbili kama unataka kufanya biashara
- Maji tayari
- Umeme tayari
- Sealing Board tayari(Gypsum)
- Milango na madirisha tayari yameishawekwa grill na mageti kama zinavyoonekana
- Ukuwa wa kiwanja ni sqm 900 zimetumika 400 katika ujenzi.
Nyumba ndiyo hiyo katika Picha.
MAZUNGUMZO YAPO