Naomba kuwajulisha kuwa Nauza nyumba Ipo Kiharaka ukipita daraja la Bunju unapinda kulia ilipo kambi ya jeshi sasa kabla ya kufika Nyumba ipo hapo Serikali za mitaa.
Ukubwa wa Nyumba ina vyumba 3 kimoja ni Master,
Seating Room
Public toilet
Store
Nje ina fremu mbili kama unataka kufanya biashara
Maji tayari
Umeme tayari
Sealing Board tayari(Gypsum)
Milango na madirisha tayari yameishawekwa grill na mageti kama zinavyoonekana
Ukuwa wa kiwanja ni sqm 900 zimetumika 400 katika ujenzi.
BEI NAUZA KARIBU NA BURE KWAKUWA NINA SHIDA 40ML-NIPIGIE KATIKA 0752307878
Nyumba ndiyo hiyo katika Picha. MAZUNGUMZO YAPO
Mkuu,Nyumba hapo ilipo inawezekana kuiwekea uzio na geti? sheria inaruhusu? na maanisha kuna eneo la wazi pembeni ya hiyo Nyumba ili kujenga uzio na kuweka geti?
Mkuu,Nyumba hapo ilipo inawezekana kuiwekea uzio na geti? sheria inaruhusu? na maanisha kuna eneo la wazi pembeni ya hiyo Nyumba ili kujenga uzio na kuweka geti?
Ndiyo mzee kiwanja kinaruhusu hapo unaona barabara imeingia katika kiwanja kwani kulikuwa na dimbwi mvua ikinyesha hivyo magari yana kwepa inalazimu kuingia katika kiwanja