Nyumba hii itagharimu tofali kiasi gani

Nyumba hii itagharimu tofali kiasi gani

Masokwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2019
Posts
454
Reaction score
682
Hello wakulungwa na mafundi wabobezi,
Naomba kujua nyumba hii ya vyumba 2 utagharimu tofali kiasi gani!?

Msingi pekee tofali ngapi!? wenye angalau coz 5, napendelea nyumba iwe juu.
Kutoka kwenye msingi mpaka lenta pia?

Maana ujenzi wangu ni ule wa awamu awamu.

themibuilder-20210809-0004.jpg
 
Back
Top Bottom