Nyumba hii itatumia bati ngapi?

Nyumba hii itatumia bati ngapi?

Hiyo nyumba ni kubwa na pia aina ya bati analotaka kutumia ni ghali vile vile. We nenda kiwanfa chochote cha bati uliza bei ya versatile gauge 28 uone bei utakayoambiwa. Wala usiende Alfaf we nenda viwanda vya mtaani ambako bei ni nafuu kuliko Alaf
ALAF hapati chini ya 30,000/ kwa bati ya 28g
 
Yes. Uko sahihi kabisa mkuu.

Lakini kwa bati anazotaka yeye huwa kiwandani wanakata kwa urefu tofauti maana paa lake kuna sehemu litahitaji bati bdefu zaidi ta meta 3 na pengine fupi labda meta 2 au 1.5

Ukinunua bati hizo za meta 3 scraps zitakuwa nyingi sababubya design ya bati lake
Basi sawa apambane na bati
 
Ni kutokufahamu mkuu, unaweza ukawa na mtu ambaye anaweza kurudia kudesign roof ambayo haina mikunjo mingi. Asante
 
Aproximately RM820
Versatiles 820x 19,000=15,580,000

Ila hapo bado kofia zitagharimu appx. 1,200,000 na misumary 400,000

Mbao kama unanunua Dar ni appx. 6,500,000 (mbao za paa na draft na assume unafanya kwa pamoja)

Fundi 4,000,000

Hapa inabidi uwe na 30,000,000 cash ili usikwame njiani. Hiyo nyumba ni kubwa sana

Kila la heri mkuu niliwahi pitia haya maumivu sitasahau
Nilikuwa sijapita kuona muendelezo wa hii thread. Ndio maana naepuka ramani kubwa zenye kona kona!
 
Wakuu,

Nimeambatanisha roof plan ya nyumba ambayo imeshajengwa hivyo imebaki kuezekwa.

Nategemea kutumia bati za versatile, hivyo kwa wazoefu mliopo humu ndani nitashukuru sana kama mtaweza kunikadiria idadi ya bati zitakazo tumika ili kujiandaa ipasavyo. Asanteni sana View attachment 2060971
Roof plan bila kujua angle yake itakuwa ngumu sana kujua idadi ya mabati
 
16.175m × 18.4m=297.62 m ²
297.62m² ~298m²
298 * 1.5 (king post) =447m
447m ÷ UPANA wa bati ambay ndo coverage yak,
Hap weng hutumia zenye upana wa 90cm ambayo inakuja kuwa 84cm
84cm una change Kuja kwa mita itasomeka 0.84m
447m ÷ 0.84m =532.14
Total runmeter =532.14( +/-)
 
16.175m × 18.4m=297.62 m ²
297.62m² ~298m²
298 * 1.5 (king post) =447m
447m ÷ UPANA wa bati ambay ndo coverage yak,
Hap weng hutumia zenye upana wa 90cm ambayo inakuja kuwa 84cm
84cm una change Kuja kwa mita itasomeka 0.84m
447m ÷ 0.84m =532.14
Total runmeter =532.14( +/-)
Msaidie kwa idadi ya bati za 3m itakuwa 532÷ 3= 177 Bati

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom