Nyumba hii itatumia bati ngapi?

Hiyo nyumba ni kubwa na pia aina ya bati analotaka kutumia ni ghali vile vile. We nenda kiwanfa chochote cha bati uliza bei ya versatile gauge 28 uone bei utakayoambiwa. Wala usiende Alfaf we nenda viwanda vya mtaani ambako bei ni nafuu kuliko Alaf
ALAF hapati chini ya 30,000/ kwa bati ya 28g
 
Basi sawa apambane na bati
 
Ni kutokufahamu mkuu, unaweza ukawa na mtu ambaye anaweza kurudia kudesign roof ambayo haina mikunjo mingi. Asante
 
Nilikuwa sijapita kuona muendelezo wa hii thread. Ndio maana naepuka ramani kubwa zenye kona kona!
 
Roof plan bila kujua angle yake itakuwa ngumu sana kujua idadi ya mabati
 
16.175m × 18.4m=297.62 m ²
297.62m² ~298m²
298 * 1.5 (king post) =447m
447m ÷ UPANA wa bati ambay ndo coverage yak,
Hap weng hutumia zenye upana wa 90cm ambayo inakuja kuwa 84cm
84cm una change Kuja kwa mita itasomeka 0.84m
447m ÷ 0.84m =532.14
Total runmeter =532.14( +/-)
 
Msaidie kwa idadi ya bati za 3m itakuwa 532÷ 3= 177 Bati

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…