Nyumba hii yenye miaka 700 ipo Iran

Kwahiyo sasa slogan itabadilika na kuwa Miaka 700 na sio miaka 100.
 
View attachment 1802838

Waarabu wa kale waliweza kuchonga miamba na kuifanya makazi, waliweka milango na madirisha kujikinga na baridi pia wanyama wakali hata wezi.

Walikwenda mbali zaidi katika mazingira ya Zama za Mawe.
Kwa tafasiri yako nyumba hii ilijengwa mwaka 1730.

kumbe watu walikuwa wanaishi duniani hapa hapa ...duh
 
Huo ukuta unafaa upigwe rangi nyeupe itasaidia kupunguza joto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…