Nyumba ina uzwa GOBA KWA AWADHI

Nyumba ina uzwa GOBA KWA AWADHI

Bosspraise

Senior Member
Joined
Feb 10, 2020
Posts
134
Reaction score
124
NYUMBA YA KISASA INAUZWA – GOBA KWA AWADH

Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa eneo la Goba kwa Awadh, Dar es Salaam. Ipo karibu sana na barabara kuu ya Goba – umbali wa mita 200 tu!

Nyumba ina
Vyumba 4 vya kulala

Vyumba 3 vina bafu na choo ndani (self-contained)

Choo cha wageni (public toilet)

Jiko la kisasa

Sebule kubwa ya kisasa

Maegesho ya magari

Fence (ukuta wa kuzunguka) na gate la kisasa

Ua wa kujiachia wenye nafasi nzuri

📏 Ukubwa wa Kiwanja: 400 sqm
🚗 Umbali kutoka Barabara Kuu: Mita 200
💰 Bei: TZS 175,000,000
📞 Wasiliana kwa maelezo zaidi au kutembelea nyumba:
📱 0742 892 195
 
Back
Top Bottom