Nyumba inahitajika

Nyumba inahitajika

Mapinduzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2008
Posts
2,418
Reaction score
98
Wandugu

Natafuta nyumba jijini Dar es Salaam kwa ajili ya familia (muhimu iwe yenye vyumba viwili vya kulala na parking).

Naomba yeyote mwenye kujua au anayepangisha nyumba anitaarifu.

Natanguliza shukrani.
 
mkubwa unahitaji maeneo gani katika jiji hili la Dar! Nadhi pia ungeandika na maeneo unayohitaji kwani jiji kubwa hili! mbweni, kibamba, chanika n.k
 
kuna nyumba ipo tandale ina parking na garden na ni nzuri ila gari haifiki unatembea dk kumi kutoka barabara ya mtaa.
sema
 
kuna nyumba ipo tandale ina parking na garden na ni nzuri ila gari haifiki unatembea dk kumi kutoka barabara ya mtaa.
sema[/QUOTE

Mmmmh msaniii!!!! ama kweli msanii;

Nyumba ina parking.........ila gari haifiki...sasa parking ya nini tena hapo?

Mzee UW,

Pale Tabata Posta karibu na Shule ya Msingi Liwiti karibu sana na barabarani kuna Nyumba ya Mzee mmoja anaipangisha nafikiri Ths 300,000 kwa mwezi. Nyumba ipo sehemu nzuri sana, ina parking, ina eneo la bustani kubwa sana, imezungushiwa uzio wa tofali etc.

So mzee km unakumind huko sema, nikupe details!
 
Unaweza kuwa na bahati kama zitakuwa bado zipo.
Mwenge and Kijitonyama.
2 Bedrooms-selfcontained. 1 big kitchen. 1Big Talking room. 1 Common toilet. Well ventilated Big Aluminium windows. AC-in talking room. Floor tiles-whole Hse.Telephone TTCL. 1 PC -no printer.Internet connection, Electricity and water inclussive. 1 car park. Kitchen Cabinets. Cooker,Fridge,TV,Hometheatre,washing machine,1 sofa, 1 dinning table.4 Beds. 1 Security guard-makonde type. Big compound.SA tiles roofing and Gypsum board.Insured for Fire only(45,000USD)
Rent 2500USD.Minimum stay 3 month.rakeyescarl@yahoo.ie
 
Kigamboni South Beach (estate ya Mutual developers) kama unataka niambie nitakupa ina vyote unavyohitaji na zaidi
 
mkubwa unahitaji maeneo gani katika jiji hili la Dar! Nadhi pia ungeandika na maeneo unayohitaji kwani jiji kubwa hili! mbweni, kibamba, chanika n.k


Natarajia kupeleka mtoto shule (City Center) na pia niwahi kazini, hiyo nahitaji sehemu ambayo haitanichukua zaidi ya nusu saa (keeping in mind foleni).

Kwa mwenye kujua zaidi sehemu naomba ushauri kuhusu sehemu ambayo itakuwa muafaka kutokana na maelezo mafupi hapo juu.
 
Back
Top Bottom