Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna nyumba ipo tandale ina parking na garden na ni nzuri ila gari haifiki unatembea dk kumi kutoka barabara ya mtaa.
sema[/QUOTE
Mmmmh msaniii!!!! ama kweli msanii;
Nyumba ina parking.........ila gari haifiki...sasa parking ya nini tena hapo?
Mzee UW,
Pale Tabata Posta karibu na Shule ya Msingi Liwiti karibu sana na barabarani kuna Nyumba ya Mzee mmoja anaipangisha nafikiri Ths 300,000 kwa mwezi. Nyumba ipo sehemu nzuri sana, ina parking, ina eneo la bustani kubwa sana, imezungushiwa uzio wa tofali etc.
So mzee km unakumind huko sema, nikupe details!
uwiano kaingia mitini
mkubwa unahitaji maeneo gani katika jiji hili la Dar! Nadhi pia ungeandika na maeneo unayohitaji kwani jiji kubwa hili! mbweni, kibamba, chanika n.k
Nilikuwa kwenye majukumu mengine ya kitaifa, sijakimbia. Kwani wewe uko hapa 24/7?
maswali ya mtego hayo