kuna nyumba ipo tandale ina parking na garden na ni nzuri ila gari haifiki unatembea dk kumi kutoka barabara ya mtaa.
sema[/QUOTE
Mmmmh msaniii!!!! ama kweli msanii;
Nyumba ina parking.........ila gari haifiki...sasa parking ya nini tena hapo?
Mzee UW,
Pale Tabata Posta karibu na Shule ya Msingi Liwiti karibu sana na barabarani kuna Nyumba ya Mzee mmoja anaipangisha nafikiri Ths 300,000 kwa mwezi. Nyumba ipo sehemu nzuri sana, ina parking, ina eneo la bustani kubwa sana, imezungushiwa uzio wa tofali etc.
So mzee km unakumind huko sema, nikupe details!