Wakubwa heshima mbele:
Jamani inawezekana nikapata nyumba Mikocheni ya ku-rent...yenye yafuatayo?
1. Iwe na room mbili au tatu za kulala, sitting room, kitchen, garden hata kama ni ndogo (need not iwe ya kijani-I can make one myself-for Iam a good gardener) na mazagazaga mengine. Kifupi nyumba iwe na space ya kutosha..ndani na nje...
2. Iwe na water/electricity system ya kueleweka.
3. Iwe na geti safi (isiwe uswahilini)
3. Iwe karibu na barabara..I mean iwe rahisi kufika hata mvua ikinyesha (wazee si mnaijua hii bongo yetu ilivyo mvua ikinyesha?)
5. Kama itakuwa na tiles ndani, imeezekwa kwa vigae, vifaa vingine ambavyo havijachoka kama masink, vyoo nk..itakuwa safi zaidi.
6. Sihitaji iliyo furnished. Na mwenye nyumba nataka asiwe mtu mswahili au mjanja mjanja.....nitafanya direct transmission kwenye account yake kila mwezi......
7. BAJETI YANGU NIMEJIWEKEA NI 400,000-500,000 KWA MWEZI. Tunaweza kuzungumza.
8. Sihitaji dalali. walishawahi kuniliza..so I dont trust them. Professional brokers..wanakubalika..ila sio wale wa mjini na ofisi za briefcase..! Ndo maana nimekuja hapa JF nikijua kwamba kuna waungwana wanaweza kunipa ideas.
9. Nyumba inahitajika kuanzia September mwaka huu.
Tafadhali naombeni ideas zenu wakuu!
Shukrani!
NB: specifically nimeomba ideas kuhusu MIKOCHENI. Kama hujui naomba usianze kunipa mawazo sijui ya Mwenge, Buguruni el...Maana huko nimeacha kuulizia nikiwa najua nyumba zipo na zinaweza kuwa cheap vile vile. Lets deal with Mikocheni au kama vipi Mbezi Beach wont be a bad idea..though sikupendi kabisa kule...