Udi kwani si ni sawa na perfume nyengine tu?
Tofauti yake huwa harufu inabaki kwa muda mrefu hata mwilini au kwenye nyewe
Sijaona tatizo hata dogo
Bro umenikumbusha mshkaji wetu mmoja(RIP) demu wake nae alijifukiza hayo makitu "kunako" wakati wamemaliza majambozi anashangaa mzee wake kajaa masizi na mavitu meusi meusi yananukia udi... kumbana demu akakiri kuwa aliambiwa na rafiki yake hiyo kitu inazidisha raha akaamua kutest zali. Alimpiga marufuku demu akaachana na hayo makitu...QUOTE]
Huyo hakuhitimu mafunzo alikurupuka tu. Kwanza siku hizi kuna vyetezo (vile vya kufukizia) vya umeme, na vyengine vya makaa ya mawe kwa hivyo hiyo kitu masizi ni historia. Na vile vile kitamaduni kuna 'stand' yake ya kufukizia kwa hivyo nguo na mwili huwa havigusi huo mkaa.
Udi kwani si ni sawa na perfume nyengine tu?
Tofauti yake huwa harufu inabaki kwa muda mrefu hata mwilini au kwenye nyewe
Sijaona tatizo hata dogo
kuuliza si ujinga...nijuavyo mimi udi ni kama air freshner na perfume..but yatumika tena mtu akitaka kulala ?!!Bro umenikumbusha mshkaji wetu mmoja(RIP) demu wake nae alijifukiza hayo makitu "kunako" wakati wamemaliza majambozi anashangaa mzee wake kajaa masizi na mavitu meusi meusi yananukia udi... kumbana demu akakiri kuwa aliambiwa na rafiki yake hiyo kitu inazidisha raha akaamua kutest zali. Alimpiga marufuku demu akaachana na hayo makitu...QUOTE]
Huyo hakuhitimu mafunzo alikurupuka tu. Kwanza siku hizi kuna vyetezo (vile vya kufukizia) vya umeme, na vyengine vya makaa ya mawe kwa hivyo hiyo kitu masizi ni historia. Na vile vile kitamaduni kuna 'stand' yake ya kufukizia kwa hivyo nguo na mwili huwa havigusi huo mkaa.
Kwa kuongezea ... ni tofauti za tamaduni tu. Perfume za kimagharibi, udi ni watu wa mwambao na bara Arab. Kazi yake ni ile ile kutia harufu nzuri na kuondoa harufu zisizohitajika.Ndio maana hufukizwa kwenye nguo, mwili pamoja na nywele, matandiko, mapazia na hata chumbani.
Huyu ndugu inaelekea ni mgeni wa mambo haya na huyo mkewe huenda ndo kwaanza katoka kupewa somo na mashosti na somo bado halijakolea sawasawa, anashindwa hata kumwelewesha mumewe kikaeleweka.
Kukuta vipande kwenye pochi si ndio udi wenyewe? Udi waweza kuwa wa namna/aina nyingi kutegemeana na ulivyopikwa.Waweza kuwa kama hivyo, au kuwa na chengachenga maana wakati mwingine hupikwa na sukari nk.