Nyumba inanuka udi, ukaguzi ukafanyika, vipande vilikutwa kwenye pochi ya mke wake

Nyumba inanuka udi, ukaguzi ukafanyika, vipande vilikutwa kwenye pochi ya mke wake

kuna kitu hamjaelewa hapa. huyu mama alikuwa anajiandaa kwenda kujirusha na kidume kinachopenda uudi na mzee akamkwida aeleze nani kamuagiza ajifukize manake mzee wake hana mazoea wala interst na uudi. kwa kweli huyo mwanamke anatakiwa kibano cha nguvu hadi ataje hilo buzi lake la kimwambao na kisha kisago na baadaye talwaka 30! nyambaf!
 
nazani hivi ndivyo alivyokusudia muanzisha sredi, hawa walioleta habbar za shetani na iblis nazani wanamiss point.
 
Mi nadhani unyumba anaupata kwa mbinde. Jibaba lipo lipo tu ka zigo. Katika kujitahidi afanyeje kumvutia mumewe kimapenzi, ndo kashauriwa ajifukize udi, baba akirudi akisikia harufu hiyo nzuri mambo yatakuwa shwari. Kumbe jibaba hilo nalo, ndo limezidisha vituko, limelala nje kabisaaaaa! Kazi anayo huyo mwanamke mwenzangu. Nyie wababa mwelimisheni mwenzenu. Hapo tatizo liko kwenye unyumba mama anahaha tu kutafuta namna ya kumfanya baba achangamkie. Bibie akikaa ka zigo anaambiwa mshamba, akianza kutafuta utaalam anakimbiwa alale mwenyewe. MWE! :humble:
 
huyo mama aache maluweluwe, apewe kisago hadi ataje hilo buzi lake la kimwambao linalopenda udi. kama na wewe una akili kama hiyo, subiri zamu yako, kisago hicho utakachopata, sipati picha yake.
 
Wallahi mshamba kweli kweli si mchezo .. unapata mwanamke anaefusha uuuuuudi wa mawaridi kukukaribisha halafu unakimbia ... ama kweli mzoea vya kunyongwa ....
 
Kwa kuongezea ... ni tofauti za tamaduni tu. Perfume za kimagharibi, udi ni watu wa mwambao na bara Arab. Kazi yake ni ile ile kutia harufu nzuri na kuondoa harufu zisizohitajika.Ndio maana hufukizwa kwenye nguo, mwili pamoja na nywele, matandiko, mapazia na hata chumbani.
Huyu ndugu inaelekea ni mgeni wa mambo haya na huyo mkewe huenda ndo kwaanza katoka kupewa somo na mashosti na somo bado halijakolea sawasawa, anashindwa hata kumwelewesha mumewe kikaeleweka.

Kukuta vipande kwenye pochi si ndio udi wenyewe? Udi waweza kuwa wa namna/aina nyingi kutegemeana na ulivyopikwa.Waweza kuwa kama hivyo, au kuwa na chengachenga maana wakati mwingine hupikwa na sukari nk.

WOS usinimeze lakini mie nikasikia eti ukiwa mpenzi wa kutumia manukato ya Udi lazima una mashetani au majini pls tell me kama hii kitu ni kweli
 
Hahahaaa nimecheka na post za wa2 humu hasa mtu mmoja mwe! Ila kama huo udi ulikua wa kheri kwa nini alidanganya ni harufu ya net? Kuna ki2 hapo
 
Back
Top Bottom