House4Rent Nyumba inapangishwa Dodoma

UNSPECIFIED

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
792
Reaction score
2,609
Habari waheshimiwa,
Nyumba ipo Dodoma maeneo ya Mipango imepakana na Chuo cha Madini,Unapanda Daladala moja mpaka mjini hakuna ulazima wa kupanda bodaboda kutoka nyumbani
-Ina vyumba viwili self contained
-Ina vyumba viwili vya kawaida -(havina vyoo)
-jiko ,sitting room ,dining na choo cha public ni vizuri sana

*Nyumba ni mpya nitaambatanisha picha wakati hatua za umaliziaji zikiendelea sijaweza kupata picha ambazo ni current kwa sababu nipo mkoa tofauti na Dom
-Bei ni sh.400,000 kwa mwezi
-Mawasiliano 0622098447
Karibuni
 
Kwa hyo nyumba ni ya kwako
 
Ni ya kwangu ndio
Sasa chief nyumba yako na wakat huu wa digitali ushindwe kupata picha za finishing, kwamba umeambiwa kwa maneno nyumba yako tumeikamilisha ukakubali, sio rahisi

Sent from my Le X522 using Tapatalk
 
Hayo maeneo nayakubali SAna

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni maeneo tulivu sana na pamezungukwa na taasisi nyingi za kanisa hasa Catholic ( shule,hospitali nk) pia taasisi za kiserikali kama hospitali teule ya St.Gemma,Chuo cha Mipango,Madini,kambi ya Jeshi (makazi) zipo karibu
 
Hongera boss nyumba yako ni nzuri sana,naona pia ipo karibu sana na makazi ya jeshi,vp na ww ni msoldier?[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana ndugu,Majirani zangu hao hawana shida ,kama wewe ni mtu wa mazoezi unapasha nao jioni uwanjani wanakukimbizakimbiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…