House4Rent Nyumba inapangishwa Kigamboni(ghotofa)

Asante kwa marekebisho mkuu na ndo maana ya kuanika hadharani mahali nyumba ilipo
Sasa turudi kwa wahitaji wa nyumba kama wapo tuongee biashara!n
 
Madalali Wa bongo.hewa ata kutengeneza tangazo auwezi
 
Mungu anawaona madalali. Dola 700 kwa kazi ipi zaidi? Hii miaka kumi ya Magu mtanyooka tu. Yaani kuwa tu na information wapi nyumba ipo? Is that knowledge sufficient to earn dola 700? Nimekutana na real estate agency huko nje ya nchi na kwenyewe kuna fee ya dalali lakini sio amount hiyo hii ni purely extortion. Ndo maana madalali wengi ni darasa na saba au form four na wanategemea ujanja ujanja kuishhi mjini kwa maana hawana skills zozote. Wengi watakimbia mji enzi hizi za Magufuli na ndo hapo sasa sekta ya real estate itendeshwa na wataalamu sio hawa makanjanja waliokimbia umande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…