House4Rent Nyumba inapangishwa Masaki

House4Rent Nyumba inapangishwa Masaki

Pangodotcom

Member
Joined
Apr 16, 2020
Posts
11
Reaction score
3
5.jpg
 
Attachments

  • 5.jpg
    5.jpg
    104.1 KB · Views: 5
Vijana, tusaidieni sie wazee! Nimejaribu kutafuta picha ya nyumba yenyewe lakini nimeshindwa kuiona kutokana na macho ya kizee haya! Sasa nyumba yenyewe ni ipi kwenye hiyo mistatiri mistatiri?
 
Akiwazacho mtu ndicho kinachomtoka.
Njoo nikulishe kazi yako itakuwa kujitazama kwenye kioo tu.
Jitahidi ujitosheleze kwanza wewe kwa chakula ndo uwaze hata kukusanya kodi ya chumba Tandale kata ya Mkunduge
 
Jitahidi ujitosheleze kwanza wewe ndo uwaze hata kukusanya kodi ya Nyumba Tandale kata ya Mkunduge
Mkuu acha kutumia maneno kama madanga hizo ni swag za kike.
Halafu ID yako ni softG huuh?
Okay@softG endelea kuwa soft
Ila kama wewe ni Ke basi vizuri zaidi.
 
Vijana, tusaidieni sie wazee! Nimejaribu kutafuta picha ya nyumba yenyewe lakini nimeshindwa kuiona kutokana na macho ya kizee haya! Sasa nyumba yenyewe ni ipi kwenye hiyo mistatiri mistatiri?
Naomba tuwasiliane nikupe picha mzee wangu
 
Back
Top Bottom