House4Rent Nyumba inapangishwa mtoni kijichi

House4Rent Nyumba inapangishwa mtoni kijichi

IMG_20170701_141254.jpg
 
Yaani natamani kodi yangu ingeisha kesho maana hapa nilipo bado miezi mitatu Mkuu ila nitajaribu kukutafuta baada ya kodi yangu hapa kuisha nione kama bahati itakuwa yangu kuna umbali gani toka ome mpaka barabara kuu
 
Inshallah,Dk 15-20 kwa miguu,bodaboda dk 3-5
 
Hello,Kuna vyumba,Nyumba ya kupanga mtoni kijichi.

Numba/vyumba vipo ndani ya fensi,maji na umeme ya uhakika yapo.

Ipo yenye chumba(self) na sebule plus jiko, Kodi 150,000/= kwa mwezi.

Vyengine ni kimoja kimoja, kodi 50,000/= kwa mwezi, Hivi choo kwa nje.

Mwenye mahitaji tuonane pm,hakuna udalali mpangaji ni mimi mwenyewe,Huitaji kua na pesa ya kumpa dalali.

Location,Mtoni kijichi.
Kaibu na kwa Salimu?
 
Back
Top Bottom