Hayo ni mawazo yako mkuu Ila sebule chumba na Jiko nayo ni nyumbahii ni chumba, sebule na jiko haijawa na sifa ya kuwa nyumba mkuu, nyumba mpaka iweze ku accomodate familia means baba mama na watoto, chumba cha baba kiwepo, watoto wa kike kiwepo na cha watoto wa kiume,
next time hakikisha ukitumia neno nyumba walau iwe na vyumba vitatu
Mkuu hiyo bado haiqualify kuitwa nyumba, kibongo bongo sawa, ila katika tafsiri ya nyumba as nyumba, hicho ni chumba tu tena master bed room, nyumba ina dinning room, rooms kadhaa, garage, servant quaters, library ambayo pia ina study room, tv room, dari, store, basement na mengineyo, sasa kama hiyo inayokua advertised hapa inavyote hivyo then it qualifies to be a house, but mpaka sasa, naona kinachopangishwa ni master bedroom...mkuu chumba master, sebule na Jiko utaita nyumba au chumba?
mkuu tafsiri ya chumba ni lazima kiwe ndani ya nyuma, sasa hii imejengea peke yake, means ni nyumba inayojitekemea yenye sebule, Jiko na chumba master na inajitegemea,Mkuu hiyo bado haiqualify kuitwa nyumba, kibongo bongo sawa, ila katika tafsiri ya nyumba as nyumba, hicho ni chumba tu tena master bed room, nyumba ina dinning room, rooms kadhaa, garage, servant quaters, library ambayo pia ina study room, tv room, dari, store, basement na mengineyo, sasa kama hiyo inayokua advertised hapa inavyote hivyo then it qualifies to be a house, but mpaka sasa, naona kinachopangishwa ni master bedroom...
acha kujitungia tuhii ni chumba, sebule na jiko haijawa na sifa ya kuwa nyumba mkuu, nyumba mpaka iweze ku accomodate familia means baba mama na watoto, chumba cha baba kiwepo, watoto wa kike kiwepo na cha watoto wa kiume,
next time hakikisha ukitumia neno nyumba walau iwe na vyumba vitatu
mkuu naona wewe utakuwa una athiriwa na misemo ya kiswahili ya nyumba ni choo, kukiwa na choo tu kitu kina qualify kuwa nyumba,acha kujitungia tu
nyumba ya chumba kimoja-one bedroom house
nyumba ya vyumba viwili,vitatu,vinne-two bedroom house etc
nyumba ni chumba/vyumba/jiko/choo plus other extras.....idadi ya vyumba haifanyi moja kuwa nyumba na nyingine kuokuwa nyumba. Nyumba inaweza kuwa na chumba kimoja cha kulala sio lazima viwe vyumba vitatu vya kulala.mkuu naona wewe utakuwa una athiriwa na misemo ya kiswahili ya nyumba ni choo, kukiwa na choo tu kitu kina qualify kuwa nyumba,
unatania...sio?Mkuu hiyo bado haiqualify kuitwa nyumba, kibongo bongo sawa, ila katika tafsiri ya nyumba as nyumba, hicho ni chumba tu tena master bed room, nyumba ina dinning room, rooms kadhaa, garage, servant quaters, library ambayo pia ina study room, tv room, dari, store, basement na mengineyo, sasa kama hiyo inayokua advertised hapa inavyote hivyo then it qualifies to be a house, but mpaka sasa, naona kinachopangishwa ni master bedroom...
Kitaalam inaitwa studio hyoacha kujitungia tu
nyumba ya chumba kimoja-one bedroom house
nyumba ya vyumba viwili,vitatu,vinne-two bedroom house etc
Hapana. Studio ni tofauti na one-bedroom house. One-bedroom house ina separate bedroom, separate kitchen, separate toilet whereas Studio apartment :is a small apartment which combines living room, bedroom, and kitchenette into a single room.Kitaalam inaitwa studio hyo
Hapa tupo jukwaa la utani?unatania...sio?