House4Rent Nyumba inapangishwa Mwenge DSM opposite TRA, bei 250,000

House4Rent Nyumba inapangishwa Mwenge DSM opposite TRA, bei 250,000

hapa sio pa utani ni kazi tu
 
nyumba ni chumba/vyumba/jiko/choo plus other extras.....idadi ya vyumba haifanyi moja kuwa nyumba na nyingine kuokuwa nyumba. Nyumba inaweza kuwa na chumba kimoja cha kulala sio lazima viwe vyumba vitatu vya kulala.
hapo sasa mkuu
 
WA chumba kimoja kimoja pia vipo
 
Back
Top Bottom