Nyumba inapangishwa mwenge karibu na mlimani city

Nyumba inapangishwa mwenge karibu na mlimani city

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Habari. Nyumba kubwa inapangishwa eneo tajwa hapo juu. Ina vyumba viwili,store, jiko,public toilet, dinning,sitting room pia ina tiles. Maji yapo. Gari linafika mpaka mlangoni kwako. Haina uzio. Hakuna dalali.unalipa kodi kwangu. Shilingi laki 3 kwa mwezi. Nataka ela ya mwaka mzima. 0713401812.
 
Back
Top Bottom