Habari. Nyumba kubwa inapangishwa eneo tajwa hapo juu. Ina vyumba viwili,store, jiko,public toilet, dinning,sitting room pia ina tiles. Maji yapo. Gari linafika mpaka mlangoni kwako. Haina uzio. Hakuna dalali.unalipa kodi kwangu. Shilingi laki 3 kwa mwezi. Nataka ela ya mwaka mzima. 0713401812.