House4Rent Nyumba Inapangishwa Tabata Kinyerezi laki 2

House4Rent Nyumba Inapangishwa Tabata Kinyerezi laki 2

Hii ni kama unavyotaka kuaply chuo kunakua na malipo ya fomu, ili kujiwekea ulinzi wa kuepuka usumbufu kwa wateja wasio sirias. pia kumbuka dalali kukupeleka hadi nyumba ilipo ila ukaondoka kienyeji jua nishapoteza rasilimali zangu
 
Hizi sio zama za Ruxa ama jk,mwambie mwenye nyuma aendane na mda miezi mitatu mitatu wala hatahangaika wateja atawapata wa kutosha
 
Ila madalali mngekua mnachukua atleast nusu ya kodi ya mwezi au hata robo

Mwezi wote mzima ni parefu sana ingawa mnafanya kazi nzuri

Ila wamiliki wa nyumba,kwanini msitafute wateja directly?Hawa watu wa kati hutuumiza sana
 
Mkuu pole sana ushauri mzuri ila wenye nyumba wengi hawana mda huo
 
Back
Top Bottom