Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Naweza panga kwa miezi mitano?Nyumba inapangishwa Tabata shule.
Nyumba ipo ndani ya fensi ina vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko, choo cha ndani, maji ya bomba.
Kodi laki mbili kwa mwezi
Call me 0747744895
Mnakaribishwa.
NdioNaweza panga kwa miezi mitano?
Naomba picha pmNdio
Ww uko maeneo ganiNaomba picha pm
okayWeka picha na mazingira yake tuone wote sio PM si biashara au
Mkuu mbona hukujitokeza inboxNaweza panga kwa miezi mitano?
Picha ilishawekwaWeka picha na mazingira yake tuone wote sio PM si biashara au
Picha nilishakuwekea kwenye TangazoNaomba picha pm
Kutoka kuwa Chawa haDi kuwa dalali wa Vyumba😀Nyumba inapangishwa Tabata shule.
Nyumba ipo ndani ya fensi ina vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko, choo cha ndani, maji ya bomba.
Kodi laki mbili kwa mwezi
Call me 0747744895
Mnakaribishwa.
View attachment 2339522View attachment 2339523View attachment 2339524View attachment 2339525View attachment 2339525View attachment 2339526View attachment 2339527View attachment 2339529View attachment 2339530
Acha unoko rafiki, ukiona mtu kapost kitu usidhani kila mtu ni dalali. Naomba tuheshimiane.Kutoka kuwa Chawa haDi kuwa dalali wa Vyumba😀
Ukisikia mtu anahitaji mwambie haraka kabla haijachukuliwa.Kutoka kuwa Chawa haDi kuwa dalali wa Vyumba😀