Nyumba inapangishwa @ victoria

Nyumba inapangishwa @ victoria

Makumbusho

Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
23
Reaction score
2
Nymba kubwa inapangishwa, ipo victoria karibu na barabara... ina vyumba 2 master na 1 cha kawaida. ina ukuta na eneo kubwa. inafaa kwa kuishi na hata kwa biashara/ofisi. Bei maelewano. kwa mawasiliana piga namba 0717 441955
 
sema bei yake mkuu, nipate picha kama naweza kuishi hapo au la!
 
Nymba kubwa inapangishwa, ipo victoria karibu na barabara... ina vyumba 2 master na 1 cha kawaida. ina ukuta na eneo kubwa. inafaa kwa kuishi na hata kwa biashara/ofisi. Bei maelewano. kwa mawasiliana piga namba 0717 441955

kuwa wazi mkuu, weka bei na ikibidi tuwekee na picha iliyopigwa wakati wa masika
 
Back
Top Bottom