Nimeipenda kiasi, sio saaana kivile!!
But haijanishawishi mpaka nikubali baba Debo atoe laki tano kila mwezi.
Kasoro ya kwanza rangi kwenye fito za paa la nyumba imebanduka banduka.
Ni nzuri sana.. na haipo mbali na barabara
Mkuu mimi sio mwenye nyumba, akija mteja akiipenda na akitaka hayo marekebisho anafanyiwa, na mm sitegemei hiyo nyumba! Hii hapa tu kwenye compound yangu nimeshakula kichwa! hapa mjini kuna nyumba nyingi, hapa baruti tu zipo zaidi ya 20! sembuse hiyo?Hutopata mteja nakwambia, kama utaendelea kupuuzia ushauri wangu.
Mwambie mwenye nyumba wako apake rangi ufito wa paa.
Utalala njaa, shauri yako.
Laki 5 kimara baruti? Kwa usawa huu hupati mpangaji eti ulipe miezi 6 thubutuuuNimeipenda kiasi, sio saaana kivile!!
But haijanishawishi mpaka nikubali baba Debo atoe laki tano kila mwezi.
Kasoro ya kwanza rangi kwenye fito za paa la nyumba imebanduka banduka.
Pole sana mkuu ila hii nyumba kwa bei hiyo hapana!.. mm kama dalali kwa nyumba hiyo mwisho 450,000 japo mm mwenye nyumba akiamua kuchukua 250k mm nitafurahi koz wateja hao wapo kibao.. ila nakuambia demand ya vyumba vitatu nikubwa.. hii haimalizi j2 jioni imeshaondokaHii ikizidi sana kwa mwezi labda 250k.. Zaidi ya hapo huwezi pata mteja
Laki 5 kimara baruti? Kwa usawa huu hupati mpangaji eti ulipe miezi 6 thubutuuu
Nyumba nzuri ndio ila marekebisho madogo sana kwenye paa japo haipendez kumpangia bei aliyeijenga endapo ataona hapati wateja I hop atashusha from 500K to 300K or 400k
wenye uwezo wa kulipa kodi mil 3 kwa miezi 6 wameshajenga mijengo yao kitambo sana.
Sent using Jamii Forums mobile app